02Jul/19

Elimu Afrika | Siku ya Mtoto wa Afrika 2019

Elimu AfrikaTeam wakiwa The Plaster House ,Ngaramtoni Arusha.

Mazingira ni sehemu inayomsababisha mtoto kuwa bora sana.

Tujali mazingira yao kwaajili ya afya na michezo yao, kimsingi tumejitahidi kuweka hii alama bila kujali ni ya muda au la, ula Upendo wetu kwa Mtoto wa Afrika ni kujali Mazingira na Afya zao kwa ustawi wa vizazi vyetu. @theplasterhouse

24Oct/18

Elimu Afrika | Watoto Foundation ,Makumira- Meru

Elimu Afrika | Watoto Foundation, Makumira- Meru.
Mh Daniel, Mkurugenzi wa Elimu Afrika akiwa na Mkurugenzi wa Watoto Foundation ,Bi Truss van Hout baada ya mazungumzo ya kushirikiana katika kufuta ujinga kupitia Elimu.

#DFA
#ElimuAfrika

24Oct/18

Elimu Afrika | Mentorship, Coaching and Guidance at Kiranyi, Sakina Arusha.

Elimu Afrika | Form Four Mentorship, Arusha DC.
Get ready for the life time a Form Four Mentorship, Coaching and Guidance Program on 1/November/ 2018 at Kiranyi Sec School From 1PM.

#MentorshipCoachingGuidance
#ElimuAfrikatz

21Oct/18

Elimu Afrika | Alpha Omega Christian School

Mh Daniel, Mwanzilishi wa Elimu Afrika akiwa na viongozi wa shule ya Alpha Omega Sec School wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa shule hiyo.

Hiphop toka kwa wanafunzi 
Mh Daniel, Mwanzilishi wa Elimu Afrika akiwafundisha wanafunzi wakiume wa shule ya Alpha Omega Sec School.
Shughuli mbalimbali katika mafunzo ya wanafunzi
Mh Daniel, Mwanzilishi wa Elimu Afrika akiwafundisha maswala mbalimbali wanafunzi wakike wa shule ya Alpha Omega Sec School.

Watakaoongoza wimbo wa kuagana wa WE ARE THe World

Mwanafunzi wa kike akizungumza na wenzake wakati wa mafunzo.

Boniface, Meneja Mafunzo Elimu Afrika akiwafundisha wanafunzi wakike wa shule ya Alpha Omega Sec School.

21Oct/18

Elimu Afrika | Mahafali ya Watoto wa kituo cha Watoto Foundation, Arusha.

Mh Daniel, Mwanzilishi wa Elimu Afrika alitembelea taasisi ya Watoto Foundation, inayojishughulisha na kusaidia watoto wa mitaani kwa kuwapa elimu ya MEMKWA na Ufundi Stadi ili kuwakwamua kitabia na kuwawezesha kiuchumi.

Baadhi ya watoto wanaolelewa Watoto Foundation katika picha ya pamoja baada ya kumaliza dansi kwaajili ya mahafali.

Elimu Afrika na Watoto Foundation.

16Oct/18

An online high-school provides numerous benefits.

We have the perfect writing support on the internet to date. Once you locate an ideal article writing support for your own demands you’ll recognize the distinction. If you have to locate the optimal / optimally outcome for the net article writing service that surpass expectations, we have been your better grammar checker perfect option. To find leading grades, you’re required to select an authentic, dependable, and seasoned essay providers. Continue reading

13Oct/18

Elimu Afrika | Royal Teachers Gathering , Sakina -jijini Arusha.

Elimu Afrika | Royal Teachers Gathering, Jijini Arusha. Walimu waliohudhuria kwenye Royal Teachers Gathering, Sakina- Kibanda Maziwa. Wakipewa utambulisho na uelekeo wa semina kwa Walimu Mbalimbali waliohudhuria. Karibuni sana. #RTG #ElimuAfrika @ Sakina Kibanda MaziwaBaada ya kula matunda ya Strawberry tukamalizia kwa ukanywa Milk Shake. Asante sana @Davidpeter #RTG #ElimuAfrika @ Arusha, Tanzania.

13Oct/18

Elimu Afrika | Siku ya Mtoto wa Afrika, Simanjiro

Elimu Afrika | Picha ya Pamoja na Waelimishaji na wanafunzi wa Terat katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika