“Wanafunzi wengi hasa wakike wanahitaji kusikilizwa hisia zao na kuelekezwa mambo sahihi yakufanya katika umri wa usichana wao, ni jukumu la jamii nzima na zaidi sana walimu kuwapa muda wa kuwasikiliza” – Irene Abel (Mhadhiri Chuo Kikuu Tumaini Makumira)

Ijumaa utamsikiliza zaidi, Kaa tayari!

#MentorshipCareerguidanceLifecoach
#RTG
#ElimuAfrika @ Terat, Simanjiro, Manyara, Tanzania

One thought on “Elimu Afrika | Royal Teacher Gathering, Simajiro – Irene Adiel

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *