Mbunifu John wa Arusha amekuwa kijana wa pekee kugundua na kutengeneza Sindano ya Ufumaji, Sindano hizo amezitengeneza mwenyewe kisha kubuni namna ya kutumia kwa kufuma mazulia na urembo mbalimbali wa nyumbani. Hatahivyo kijana huyu amejiajiri kwa kuuza Ujuzi/Maarifa hayo ya ufumaji, uuzaji wa sindano na mazulia na urembo mbalimbali anaoutengeneza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *